![]()
Kiswahili Katika Utamaduni Marekani
Katika Marekani, kuna mambo mengi ya Afrika, kuhusu kiswahili na Afrika mashariki. Katika mji wa Philadelphia kuna hoteli za vyakula, maduka mengi, shule, na biashara. Kwa mfano kuna hoteli mbili za vyakula majina yao ni Uhurus katika barabara ya 52 na hoteli Zanzibar Blue katika barabara ya Broad na Walnut. Kuna maduka mawili: 1.) kwanza kuna Imanii's [sic] ni duka la urembo la wanawake na kuna Mustafaas Hairem ni kinyozi wa wanaume. Kuna shule katika Philadelphia magharibi jina lake ni Harambee Institute Inc. Kuna Kanisa jina lake ni Harambee Baptist Church katika 5648 barabara Chew. Kuna duka la vyombo vya nyumba jina lake ni Uhurus Furniture Bazaar katika kumi na mbili barabara ya Spruce. Tena kuna biashara mbili:Uhurus place katika barabara ya 49 na Chestnut na Ujima Architects katika barabara ya 4th na Market.
Katika Marekani kwa ujumla kuna matumizi ya kiswahili mengi. Katika mji wa Columbus, jimbo la Ohio kuna
Kwanza ni jumba la Starehe ni mahali ambapo watoto wanacheza na wanafanya sanaa. Katika Vyuo vikuu vya Boston na Texas (katika mji wa San Antonio), wanafunzi weusi (au wa Afrika-Marekani) wana vyama hivi vinaitwa Umoja. Katika . Chuo kikuu cha Howard kuna shirika jina lake ni Umoja, Ujima and Ujamma. Katika Chuo Kikuu cha Georgia kuna chama jina lake ni Kuumba ambayo ni kwanza na pekee chama cha mashairi kwa watu Waafrika-Marekani. Katika mji wa Milwaukee, kuna kuanza shule Jumuia jina lake ni Harambee ambayo ilianza 1969. Pia Marekani kuna ana shirika siasa ya "the Nationals Peoples Democratic Uhuru Movement." Kimataifa kuna Harambee baina ya waiengereza na watu wa Afrika mashariki.
![]()
Utamadunia wa sikuhizi
Filama
Televisheini
Harambee (1996) pamoja na Howard Rollins. Katika 'channel' la 12, mji wa Philadelphia
Luteni Uhura anatoka kwa Star Trek
Muziki
Lionel Richie "All Night Long"
Mchezo
![]()
Jumla ya kurasa za Web zenye maneno ya Kiswahili
|
38 Kwanza |
10 Harambe |
|
7 Umoja |
20 Nia |
|
3 Kuumba |
5 Imani |
|
20 Uzuri |
5 Uhuru |
|
14 Ujamma * |
6 Ujamaa |
* Not standard Kiswahili spelling
![]()
Mahali pa Web
Kwanzaa CD Jina lake ni "Nguzo Saba" mchanganyiko wa muziki
wa R&B, Jazz, na wizani wa Afrika
(Cobbala productions)
"Swahili Delights" (Vyakula vya Afrika ya Mashariki)
Ujima web resources
Nia Academy of Public Records Research Inc.
Chama cha Nia (msaada wa fedha )
"A Womans Nia on the net" (Chama cha wanawake)
Uzuri (wanafanya mwanasesere la Kuumba )
Uhuru Design Factory (ni biashara ambayo ya watu wanabuni vitu mbalimbali)
Ujamaa Inc. (wanauza nguo)
Ujamaa Communication (ni mahali ni ampapo wanauza sanaa)
Uzima Liwaza Ukurasa wa web
Harambee (web resources)
![]()
Chakula Kipenzi
Mofe: ni mchuzi ya njugu
|
1.kitunguu |
7. maji (au mchuzi) wa nyama |
|
2. tumba la kitunguu saumu |
8. siagi ya njugu (kipande kinene) |
|
3. mawese |
9. wambiso wa nyanya |
|
4. nyama (ya huku au ngombe) |
10. kabichi |
|
5. kiazi kitamu |
11. mbamia |
|
6. tanipu |
12. bizari: chumvi na pilipilia moto |
Kwanza, pika vitunguu viwili na tumba la kitunguu saumu pamoja na mawese. Jumlisha nyama (mimi ninapenda nyama ya huku lakini anatumia nayma ngombe). Wakati ule, jumlisha la tanipu moja na viazi vitamu viwili. Weka vyombo vitatu vya maji (au mchuzi ) wa nyama. Baada ya weka vyombo viwilli vya nyanyaiolewa. Kama utapenda mchuzinene, jumlisha chumbo kimoja cha lahamu ya nyanya. Baada ya weka siagi ya njugu. Ruhusu kupika mchuzi wakati wa kiazi kitamu ni kinipikwa. Weka chumvi na pilipilia moto. Jumlisha mwisho kabichi (uchane) na mbamia kwa sababu miboga hizi zinapika haraka. Utajaa mchuzi ya njugu na wali.
![]()
Sikukuu Kipenzi
Sikukuu ya Martin Luther King Jr.
Katika Marekani, tuna sikukuu nyingine ya nchi. Kwa mfano sikikuu ya uhuru, siku ya viongozi na kadhalika, kwa yoyote, kuna sikukuu hasa ni muhimu ku mimi sikukuu ya Martin Luther King Jr., (jina letu siku ya MLK). Martin Luther King Jr., ali wa kiongozi muhimu katika dunia. Maadhimisho ya sikukuu yake ni muhimu katika watu wengi wanahusu wa uhuru lakini zaidi African-Americans. Tunaadhimisha siku ya MLK ni Jumatatu wawili wa Januari. Ijapo la Chuo kikuu cha Pennsylvania haadhimishi sikukuu hii, ambao watafanya.
Mimi sinakwendi la darasa kuheshima kubukumbu yake. Martin Luther King Jr., (pamoja na Ghandi) ni mfadhili kubwa, mhamasishaji, mwanafalsafa, mwalimu na tutakaa siku ya MLK kusoma kanuni chake juu ya "non-violent social change" na tunambuka msaada alifanay katika dunia.
![]()
Dini
Ijapo kupita dunia yote ni kikristo, kiyahudi, kislamu kuna dini nyingine yule ni dini ya dani kama kibuda na kiyoruba. Mimi ni kiyoruba. Familia yangu ni Ukristo lakini mimi sihuanzi kuzoea. Mimi ninapenda dini yule juu ya mambo ya roho na uhusiano na ukoo kiafrika na mhindi mwekundu. Desturi ya kiyoruba anafanya yote. Nini muhimu katika kiyoruba ni uwezo wa ukoo ambao ni muhimu katika na mafrika na mhindi mwekundu. Katika desturi ya kiyoruba kuna imani katika kuwepo kwa Mungu, jina letu Olodumare. Pia, kuna umungu (pl?) au onyesho wa Mungu jina letu Orisas ambao wana sura (pl?) ya ulimwenguni. Kuna kuliko mia nne Orisas, kwa mfano:
Jina lake ni Sura ya Uwezo Rangi Alama
ulimwenguni
|
Exu |
Njia panda |
lugha |
Nyeusi na nyekundu |
Njia panda |
|
Oya |
tufani |
Uwezo mkee |
zambarau |
Upepo |
|
Oshun |
mto |
juana |
dhahabu |
Pepeo na kioo |
|
Yemonja |
bahari |
umama |
Ya buluu isiyokoza |
Kombe |
|
Oxossi |
mwindaji |
takdiri |
Kijani iliyokoza |
Upinde na mshale |
|
Shango |
Mwale/radi |
hakimu |
nyekundu |
Mwale au feruzi |
|
Ogun |
metali |
Bingwa wa metali |
Buluu iliyokoza |
Chombo metali |
|
Obatala |
dunia |
Muumba wa dunia |
nyeupe |
Kombe wa konokono |
|
Orumila |
elimu |
umaizi |
Kijani na kahawia |
Numbari kumi na sita |
|
Babaluyiae |
Ugongwa (ndui) |
maambukizo |
Nyeusi na kahawia |
Majani makavu |
|
Aganju |
zilizala |
platetectonics |
Zambarau iliyokoza |
Mwamba wa volkano |
|
Ossain |
mitishamba |
Mtaalamu wa mitishamba |
Kijani na manjano |
Mitishamba |
Pia, kiyoruba wana mimi yule ukoo kucheza wajibu muhimu wa uhai wenu. Kila familia ana ukoo bila jina mtu binafasi jina letu Egun. Pia kila familai wanakiri wenu ukoo siku hizi kw mfano baba yangu. Ni muhimu kuunganish na kutoa kwa Olodumare, Orisas, ukoo, na Egun. Kuna kaida za dini wanafanya kila wiki, mwezi au mwaka kusema asante kwa maana kuongoza. Kama wanahitaji msaada, wanakwenda Babalow au Baba Orisa. Babalow ni mtu ambayo ni kama kasisi. Wao wanatoa kwa hasa Orumila kwa kutumia ya naguzi jina letu Ifa. Kuna 256 kusema jina lenu Odus. Kila Odu huna nadithi jina lenu Apotokees. Babalows anatumia Apotokees kufundisha watu yule wanahiyaji kujua. Baba Orisa ni kasisi tofauti. Baba Orisa wanatoa kwa ukoo na Orisa sana kwa kutumia ya uaguzi kwa kombe au mbalimbali.